Multiple choice Questions (Marks 20 each)

ELNIN0

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Posts
4,161
Reaction score
1,476
Hosea Kutojiuzuru kama pendelezo la kamati teule ya bunge na kuthubutu kuwahoji wabunge kuhusu posho mbili mbili kipindi hicho hicho- na
Bunge kunyongonyezwa msimamo wake wa richmond - na
Lowasa Kujisafisha na
Rostam Aziz kuonekana hana mkono na ufisadi - na
Sitta kutaka kunyanganywa kadi ya uananchama CCM

Section A.

Je ni aibu ya nani?

a) Bunge
b) Taifa nzima
c) Hosea
d) Rais na serikali yake
e) CCM kwa ujumla

Section B
Mshindi wa sakata la richmond ni :-
a) Serikali
b) Lowassa
c) Rostam
d) Sitta
f) Hosea


Chagua jibu sahihi, tafadhali toa maelezo kujengea hoja jibu lako.
 

section A jibu B, Section B,jibu ni A,B,C na F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…