Mulugo awataka wanafunzi kutotembelea JF

Jamaa ni zaidi ya Lusinde

Yaani hapo ni kama amewaambia waende kuperuzi JF, this man is really low
 
Bhange na ute wa bamia mbaya sana,wapi mpiga msuli jifiche
 
Akihojiwa mapema leo na wapo FM kasema ataongoza msako wa wanafunzi wanao miliki simu nakuperezi FB na JF kwani hawaruhusiwi kutumia simu.

Naamini kulikuwa na wanafunzi hawajui hata JF ni nini, yeye sasa ndo kawafumbua macho!

Yaani ukiwa mbumbumbu unaweza dhani unaonya kumbe ndo unaonyesha!
 
Wanafunzi wa kizazi hiki wana haki ya kuwa members wa FB na JF. Elimu ya sasa ni pana, inataka ufaham zaidi ya elimu ya darasani! Nafkiri Mh. Waziri ana wasiwasi watoto wake watajua ni kwa jinsi gani jamii ya Watanzania inamdharau na kumuona ni 'Kihiyo'.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mulugo akitaka arudishe heshima yake, akubali kurisiti mitihani ya History na Civics mwaka huu...
 
kila siku mulugo anathibitisha jinsi namna alivyokilaza.huo msako ataufanyaje na akishaufanya atawapokonya simu au ataenda katika mitandao ya simu kuzifunga hizo simu zao how?
ana kazi!!!!!!!!!
 
Mulugo akitaka arudishe heshima yake, akubali kurisiti mitihani ya History na Civics mwaka huu...

na aache kuongea ongea ovyo ili tusijue jinsi alivyo kilaza na mvivu wa kufikiri.
 
Akihojiwa mapema leo na wapo FM kasema ataongoza msako wa wanafunzi wanao miliki simu nakuperezi FB na JF kwani hawaruhusiwi kutumia simu.

atakuwa anawanyima wanafunzi haki ya kupata taarifa.
na alikuwa anawaongelea wanafunzi wa elimu ya sekondari au vyuo?
 
Akihojiwa mapema leo na wapo FM kasema ataongoza msako wa wanafunzi wanao miliki simu nakuperezi FB na JF kwani hawaruhusiwi kutumia simu.

mlugo ni noma sana aiseeeee
 
Akihojiwa mapema leo na wapo FM kasema ataongoza msako wa wanafunzi wanao miliki simu nakuperezi FB na JF kwani hawaruhusiwi kutumia simu.

wakiwa wapi?
kwa hiyo wakiwa nyumbani kwao wkend na wakaperuzi hiyo mitandao ataweza kuwadhibiti?
akifanikiwa hili nitaamini tanzania tunaweza kufanya jambo lolote lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…