Leo tumeongea na mwh.MULUGO na baadhi yawakurugenz bodi ya mkopo,tumewasubilia tangia saa mbili hasubuhi,tukaambiwa turudi saa saba na nusu mchana,tumerudi hyo sa saba na nusu huwezi amini jamaa wamekuja saa tisa na dakika harobaini na tano,Kiukweli hatujapata lolote zaidi ya kutuambia kuwa KASUNGURA KALIKUWA KADOGO.Akiwa na maana kwamba bajeti ilikuwa haitoshi ndo mana hatujapewa wote.kiukweli uliibuka mgogoro kikao kikawa hakijaisha.Kilicho nishangaza sasa, baada ya kikao kuvurugika wale wakurugenzi wamefurahi sana na kugongeana mikono na kukumbatiana,cjajua hawa watu ni wa aina gani wamefurahi kwa sisi kudanganywa na kukubali uongo wao ama kuona UFISADI wao umefanikiwa na washapiga Hela?.hatukukubaliana na hilo tokeo tumeamua kurudi kwa WAZIRI MKUU,Tumeweka mihadi na iyo kesho tunaweza onana nae.Kiukweli tulikuwa wengi ila kama ujuaavyo penye wengi kuna mengi suala la (Disunity) halikukosa ,baadhi waliamua kuondoka ila watoto wa MASIKINI tumekomaa, tumekwenda kwa mtoto WA MKULIMA na tutaonana na ofisi yake hiyo kesho,kitakachotokea ntawajuza wadau. Its better to die free than to live as slave...