Mulugo na Multiple choice questions!

Snipper

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,336
Reaction score
2,171
Mulugo, naibu waziri wa elimu anasema hata mwaka wa 1989 maswali yote yalikuwa ni ya kuchagua isipokuwa somo la hisabati tu! wa mliofanya mtihani mwaka huo ni kweli? nauliza hivyo maana mimi niliyefanya mtihani wangu wa darasa la saba mwaa 1992 sikufanya maswali ya multiple chices pekee bali mengine yalikuwa ya kutoa maelezo!
tusaidiane hasa kwa mliomaliza shule miaka hiyo!
 
ameniacha hoi alipoulizwa kuhusu kuchapia kuwa tz inaundwa na pemba na zimbabwe...kweli huyu kiazi! kaishia kuishambulia JF kuwa haimtendei haki
 
ameniacha hoi alipoulizwa kuhusu kuchapia kuwa tz inaundwa na pemba na zimbabwe...kweli huyu kiazi! kaishia kuishambulia JF kuwa haimtendei haki
 
Mpuuzi kwani yeye aliitendea haki Tz na Jf? Ni kihiyo akubali hata kama inauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…