Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mkuu haya mambo ni ya siri wewe umeyajuaje? Au muhusika ni wewe?Hellow,
Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua.
Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza kujichua.
Nini kifanyike?
Mkewe alijaribu kuniambia nikakosa cha kumshauriMkuu haya mambo ni ya siri wewe umeyajuaje? Au muhusika ni wewe?
Ah ah na mume hataki tena kulala chumbani analala sebleniHuko vyumbani yanayofanywa ni mengi sometimes ni magumu pia
Hiyo ni addiction mkuu Kuna jomba ashafumwa chooni akinyetuka na kaacha mke ndani. Jirani anashangaa jomba hatoki chooni dakika zaidi ya 20 Mara akasikia mlio wa video za ngono yule mwanamkw alivyo mmbea kesho yake mtaa mzima ndo storiHellow,
Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua.
Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza kujichua.
Nini kifanyike?
Unauliza Jibu.Mkuu haya mambo ni ya siri wewe umeyajuaje? Au muhusika ni wewe?
Na ana mchepuko ivyoBora kuliko kwenda Kwa Malaya.
Si ampe TU hata kwa mpira
Duh hatariHiyo ni addiction mkuu Kuna jomba ashafumwa chooni akinyetuka na kaacha mke ndani. Jirani anashangaa jomba hatoki chooni dakika zaidi ya 20 Mara akasikia mlio wa video za ngono yule mwanamkw alivyo mmbea kesho yake mtaa mzima ndo stori
Ana pepoNa ana mchepuko ivyo
Imekuwa gafla SanaAna pepo
Ilo sina uwakikaMkewe ameshindwa kumuhudumia?
Hujui madhara ya nyet?Acha ajichukulie zake sheria mkononi kwani shida ipo wapi?