Mume ambaye ni mpweke - 42 hadi 50 - awe na watoto ambaye alishawahi oa (mjane au divorced)

Mume ambaye ni mpweke - 42 hadi 50 - awe na watoto ambaye alishawahi oa (mjane au divorced)

manka2

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
17
Reaction score
4
Mume anahitajika awe ni mpweke na mwenye nia ya kuwa na mwenzi wa kufarijiana. awe mkirstu anamuogopa mungu na msomi mwenye kazi yake. Kwa maelezo kuhusu mimi na umri wangu na watoto wangapi nilio nao- tafadhali ni PM kama kweli uko serious!
 
Nipo tayari ila naomba urejee kwenye Email yangu kwa mawasiliano zaidi
 
Back
Top Bottom