M manka2 Member Joined Jul 28, 2013 Posts 17 Reaction score 4 Aug 1, 2013 #1 Mume anahitajika awe ni mpweke na mwenye nia ya kuwa na mwenzi wa kufarijiana. awe mkirstu anamuogopa mungu na msomi mwenye kazi yake. Kwa maelezo kuhusu mimi na umri wangu na watoto wangapi nilio nao- tafadhali ni PM kama kweli uko serious!
Mume anahitajika awe ni mpweke na mwenye nia ya kuwa na mwenzi wa kufarijiana. awe mkirstu anamuogopa mungu na msomi mwenye kazi yake. Kwa maelezo kuhusu mimi na umri wangu na watoto wangapi nilio nao- tafadhali ni PM kama kweli uko serious!
L lupodzo Member Joined Jun 13, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Aug 1, 2013 #2 Nipo tayari ila naomba urejee kwenye Email yangu kwa mawasiliano zaidi
ifweero JF-Expert Member Joined Jun 12, 2013 Posts 7,957 Reaction score 1,335 Aug 3, 2013 #3 Mungu ni mwema utapata