Nimeoa Dear na Nina watoto wawili. Nina mtoto mmoja na mke mwingine pia.
Mi nataka mtoto/watoto wengine wanne lakini mama hataki, yeye anataka mmoja tu.... nikaamua ili ukoo wangu usipotee nikajipatia kamoja ka nyongeza huko nje... je kuna tatizo gani??
Kweli wanaume tunatabu sana na hizi ndoa , yaani mpaka inafikia hatua naenda nje ili kupata mtoto , kisa mama hataki? inanisikitisha sana...:angry:
pole kiraka...ulishaongea na mama akakupa sababu za yeye kutotaka mtoto mwingine?...mie nina watatu, wawili wangu, 1 wa mr wa ujana, tulikuwa hatutaki kuongeza lakini mama mkwe kavalia kibwebwe niongeze, ndoa ilikosa amani, na ckuongeza coz niliona mr hana mcmamo, mpaka apelekeshwe na mama yake ndio nae ajidai anaandamana wakati tulishakubaliana hapo ndio mwisho....akiongea na me vizuri nitaongeza sio kwa shinikizo la mamake....so wote tuna tabu kwenye ndoa....
hata nikimwacha si bado ni mdogo wa wanangu? haisadii bora tu kuhakikisha nae anapata matunzo ila haipendezi hata kidogo kuleta watoto nje ya wale tuliopanga kua nao.
Hapa ni dini kuruhusu au nafsi yako?kama dini yako inakuruhusu kuwa na wake wengi sawa, yangu hairuhusu kabisa.
Punguza unoko nawe. Mwenzio anazungumzia mtoto we unamjumuisha na mama yake.unamchukua kwa kuwatenganisha hao wazazi(mumeo/mwanamke)? au unamchukua coz ni mdogo wa wanao na wao wakiendelea na uhusiano ni sawa?
Na ukimkatalia jiandae kulea mtoto wa mwanamke mwenzio.
Punguza unoko nawe. Mwenzio anazungumzia mtoto we unamjumuisha na mama yake.
Hapa ni dini kuruhusu au nafsi yako?
Mama yake amlee kwani kamzaa yeye? Mtoto analelewa na wazazi wake bana. Na kwa mantiki hiyo atalelewa na mumeo ambaye ni baba yake na wewe ambaye ni mke wa baba yake. Period!aongee na mie vizuri tutafika malengo, sio mama yake alazimishie, hapo atanisamehe kabisa! kulea wa mwenzangu mbona nalea, nianae nalea na nina mpenda sana, mwingine atampelekea mamake alee.
Mama yake amlee kwani kamzaa yeye? Mtoto analelewa na wazazi wake bana. Na kwa mantiki hiyo atalelewa na mumeo ambaye ni baba yake na wewe ambaye ni mke wa baba yake. Period!
aongee na mie vizuri tutafika malengo, sio mama yake alazimishie, hapo atanisamehe kabisa! kulea wa mwenzangu mbona nalea, nianae nalea na nina mpenda sana, mwingine atampelekea mamake alee.
Hahahahah! Luv bana! Ukipunguza hako ka unoko, siku moja tutaimba kwaya moja. Wimbo utakuwa mtamu kweli.baba yake kumlea anaruhusiwa lakini amlee huko huko walikobebeshana mimba.....halafu ctaki kuendelea kubishana na wewe huo ndio mcmamo wangu, najua hatuivii chungu ki 1, lakini najua unanipenda honey.
Hivi lakini mama wa mumeo si mama yako pia... wewe umesha wahi kuona mume ambaye hamsikilizi mama mkwe wake... sasa wewe mbona kama unaleta ushindani , friction na mama mkwe wako... hivi unategemea nini kutoka kwa mumeo , yaani akubembeleze wakati tayari ushaelewa kuwa mtoto anatakiwa.
Tusiwe hivi jamani..Kwa hali hii lolote laweza tokea, halafu mkaja kujuta wote...
Hahahahah! Luv bana! Ukipunguza hako ka unoko, siku moja tutaimba kwaya moja. Wimbo utakuwa mtamu kweli.
Ngoja niwahi kaunta. Byebye sweetie.
kwani kumchukua unawatenganisha? wanaume hawana haya tena anaweza kuona ndo wako huru kujirusha baada ya kelel za mtoto kutoka. ila kwa sasa hizi kero za kuomba pesa kila kukicha bora kuchukua mtoto maana atakula walacho wenzie na sidhani kama magonjwa yapo kila siku kwa mtoto. ila ningekua na uwezo wa kusema nimewatenganisha basi ningefanya hivyo ila kwa sasa najitahd kuamini zaidi ya mtoto hakuna kingine kati yao.unamchukua kwa kuwatenganisha hao wazazi(mumeo/mwanamke)? au unamchukua coz ni mdogo wa wanao na wao wakiendelea na uhusiano ni sawa?
kwani kumchukua unawatenganisha? wanaume hawana haya tena anaweza kuona ndo wako huru kujirusha baada ya kelel za mtoto kutoka. ila kwa sasa hizi kero za kuomba pesa kila kukicha bora kuchukua mtoto maana atakula walacho wenzie na sidhani kama magonjwa yapo kila siku kwa mtoto. ila ningekua na uwezo wa kusema nimewatenganisha basi ningefanya hivyo ila kwa sasa najitahd kuamini zaidi ya mtoto hakuna kingine kati yao.
MOM MUNGU AKUBARIKI KWA WEMA WAKO.... mie kama nyamayao nasema ukweli mtoto nicngemchukua coz kama unavyosema kuachana hawataachana, na nikimchukua naona kama nawapa nafac ya kutafuta wa pili, kama ni hivyo bac kila mmoja alee wa kwake tu mana cwezi kukimbiazana na mtoto anaumwa na huko baba/mama yake wanakula raha zao kama inavyoonekana kwenye hii pic hawa watu kuachana ni ngumu, bac kila mmoja alee wa kwake tu mana malezi nayo magumu jamani then bado labda huko wanaendelea na uhusiano, mie nakimbizana clinic mtoto ana mafua wenzangu wanakula kuku...hapana! mcmamo wangu ungekuwa "kila mtu alee wa kwake."