Mume amjeruhi mkewe baada ya kupika chapati 8 na yeye alitaka 20

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Mwanamke wa makamo amelazwa Hospitali baada ya kujeruhiwa na mumwe wake baada ya kuzuka mzozo kati yao kuhusu chakula

Mwanamke huyo alishambuliwa na Mumewe baada ya kupika chapati 8 kwa kutumia nusu kilo ya unga huku mumewe alitegemea zipikwe chapati 20

Mwakamke huyo ambaye ni mjamzito bado amelazwa katika Hospitali moja huko Kaunti ya Nyandarua huku akiwa amepoteza fahamu

Majirani wamesema kuwa ni kawaida ya Mwanaume huyo kumpiga mkewe kwa sababu na visa mbalimbali

Wamesema siku kadhaa zilizopita Mwanamke huyo alipigwa na mumewe baada ya kula Parachichi 1 alilokuja nalo Mumewe


======

A middle-aged woman from Rurii Village in Ol Kalou, Nyandarua County is recuperating at the JM Memorial Hospital after she was assaulted by her husband following a disagreement over food.

The mother-of-two was allegedly beaten up by her husband after she prepared eight chapatis from half a kilogram of wheat flour on Tuesday.

Her husband expected 20 chapatis to be processed from the half a kg bag of flour.

Neighbours, however, reveal that the suspect had developed a habit of assaulting his wife over food.

“Sometime back, the suspect went home with three avocados. His wife and children ate one. When the man realised that one of his fruits had been eaten, he mercilessly beat up his spouse. The second time, he came home with matumbobought at Ksh50. He beat up the woman on claims that the matumbo did not have soup. And most recently, he beat her up over claims that the flour he bought should have produced 20 chapatis and not 8,” said the couple’s neighbour.

The victim, who is pregnant, sustained injuries to her body, and remains unconscious in hospital.

The suspect, who neighbours claim is addicted to alcohol, is being detained at Ol Kalou Police Station as investigations into the incident continue.
 
[emoji849][emoji849][emoji849]

3x² + 5 + 4x³ - x² + 2x³ + 9
 
halafu chapati zinaonekana tamu hizo hadi mate yametoka hilo jamaa litakua jishamba halijui kula
 
Njaa kenya ipo sana!! Wanaume wanakimbia familia shule zinafungwa!!
 
Mh


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mtu anayeweza kukutoa damu sababu ya chakula,sio wa kukaa naye karibu.
 
Atakuwa Mluhya tu huyo,anakula chapati ishirini na birika ya chai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…