Mume anahitajika 36+

Mume anahitajika 36+

Deese

Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
97
Reaction score
110
Habari wana JF,

Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.

Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.

Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.

Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
 
duh ina maana fegi nazo zinatukosesha wake? sasa ma-Don kama kina P Didy wanaovuta ciger si wangekosa wakuoa kabisa duh
 
Back
Top Bottom