Mume Anahitajika

kuna sehemu yanaishia then mnatembea kwa miguu, mkifika mbele kuna sehemu lazima utambae kama mtoto na part ya mwisho utakuwa unaruka kichurachura.
Sasa hiki kijjiji au kambi ya jeshi? kichura chura?
 
Nashkuru Tiamaji hayuko hivo, atakaempata Tiamaji ana bahati sana wallahi
Ngoja nione how she will resist this... naona na wewe umeamua. Umesha mpigia sim? saa hizi ni shillingi moja tu hadi majogoo yatakapo wika.
 
Ngoja nione how she will resist this... naona na wewe umeamua. Umesha mpigia sim? saa hizi ni shillingi moja tu hadi majogoo yatakapo wika.
Tena mzembe naongea kiingereza kitupu, samtaimu nazimua na ile lugha yako ya bonjour?
 
umeanza majungu lawyer tena mbele ya mchuchu mpya. Proposal litakataliwa.

Ila na wewe ni kigeugeu. In the other thread of afrodisiacs unataka kumpitia mwende wapi sijui... focus, concentrate hapa hapa.

Dah! kweli acha nikuwe mnyenyekevu, halaf nazani mngemwambia Tiamaji kwamba mimi sjawahi kupigwa ban wala kutembelea jukwaa la wakubwa, nimetatua matatizo mengi ya ndoa jukwaa la MMU na pia ni hazbend material, niko tayari kufa njaa lakini waifu apate hela za make up za Taiwan.
 
Umetatua matatizo mengi ya ndoa MMU? Ndoa zako ama za wengine? Unaharibu sasa! Mi nakushauri uje na ID mupya uta-score hapa!
Tetesi ni kuwa inbox ya TiaMaji imejam kwa wingi wa pm...
 
Nataka kurepoti abyuzi.

Kloro, husyn na RR, mnastahili bansen banner kwenye sredi hii.
 
dada husninyo namaanisha ndo maana nimeweka na namba ila naomba pls kwa alie serious coz cpendi kusumbuliwa..
wasiliana na kongosho, anadai anatafuta mke wa pili kwani huyu aliyenaye anamtesa sana
 
Hahaa we ni wa kiume bana acha kuzingua member. We ni wa humu ila umekuja na I'd nyingne.
 
Wasalimu watu wa Iringa. Ntaanza kukuumbua hvyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…