Kabla sijakutwangia ili kupunguza garama za mawasilianao, naomba kujua kama na mimi naweza kuwamo, mi ni mkulima mdogo (kazi halali) muda mwingi nakuwa kijijini, nategemea kufanya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu kama mtahiniwa binafsi (elimu yoyote), umri nimepita kidogo ktk uwigo unaotaka, nina miaka 32, kwa maelezo hayo NAWEZA KUANZISHA MCHAKATO?
Tiamaji hebu ni pm picha yako nithaminishe!!Nijuze kabila na dini pia maana wazazi wangu ni ma-conservative wa Kinyamwezi hayo mambo wanayatilia manani sana!Karibu mrembo tujaribu kuona kama tunaweza fika popote!!