Mume ananichosha kwa kupenda haki ya ndoa

HAHAHAHA!
jamaa anapenda sana ''alikotokea''!
 
.....Wanaume wengine bana anafikiri hiyo chakula, miezi sita ya ndoa bado tu anataka kila siku. Honeymoon watu ndio wanafanya mara kwa mara kwa kuwa hawana kazi za kufanya.
 
Mmhhhhh....
Wenzio siku ya kuolewa huwa wanalia....
Kwa mambo kama hayo...

Wewe siku ya kuolewa ulichekelea?????

Ukikubali kuolewa,kubali yote.

jamani nyie mmh kila kitu kina kiasi The boss
 
huyo jamaa naye mroho sana apunguze hiyo ni mali yake tu anadhani itahama
 
.....Wanaume wengine bana anafikiri hiyo chakula, miezi sita ya ndoa bado tu anataka kila siku. Honeymoon watu ndio wanafanya mara kwa mara kwa kuwa hawana kazi za kufanya.


Pretty, umeshaingia tayari kwneye ndoa? Miezi sita sawa kabisa mume abehave kama anavofanya

Kinachoonekana hapa labda mume mwenyewe hamuandai vizuri kisaikolojia huyo mke wake ili na yeye afurahie mapenzi na tendo la ndoa,

Au pia mke hapo kuna pre-conceived ideas ambazo anazo kuhusu ndoa na tendo la ndoa..pengine anafikria tendo la ndoa kama 'kazi' kwamba yeye 'anampa' kama favour flani hivi wakati wanatakiwa wapeane!

Kimsingi wote mwanamke na mwanaume wanahitaji kaushauri kidogo lakini nimtahadharishe kuwa kuna wanawake watataka 'kumjua' huyo mumeo na wakimjua utahesabu 'boriti' kama alivosema Mbu hapa!
 
Jamani hebu apunguze, sikatai kufanya kila siku, lakini kama ni kweli jamaa akianza marathon inakuwa usiku mzima non stop, pengine labda bila hata kumuandaa bibie aah inakuwa kero lol! I cant imagine masikini pole dada wewe.
 
Nilitaka shangaa BOSS akosekani katika hii thread!!!!!!!!!!!
 
Hayo ni ya kwaida kabisa. Iko siku atafanya tu kimoja na hataki tena kusikia hiyo habari. KWa sasa hamana responisbility nyingi hivyo hiyo kitu ndio inatawala sana akili . Wewe subiri tu, kwanza upate ujauzito, then uzae , mtoto aanze kusumbua usiku n.k then uone kama speed hajapungua. Na baade kama alikuwa nafakufanya kwa masaa 7 atakufanya kwa dakika 7 tu. Pole

Usisahau kuwa pia kuna wenzio nao hawatosheki. Mwanamke anataka afanywe 24hrs.
Hivyo ndivyo inavyokuwaga huko sirini
 
Huyo jamaa ni bora akatafuta nyumba ndogo!..maanake mkewe ameshaushindwa mziki huo!...

ajipindue uswazi akadumishe mila!
 
Jamani hebu apunguze, sikatai kufanya kila siku, lakini kama ni kweli jamaa akianza marathon inakuwa usiku mzima non stop, pengine labda bila hata kumuandaa bibie aah inakuwa kero lol! I cant imagine masikini pole dada wewe.


Hakuna sababu ya kuweka mpira kwapani. Huyo dada arudi kwenye KP wampatie mbinu za kumtoa jamaa ulimi nje. She must be missing something in terms of expertise. Haiwezekani mwanamume aliyeshughulishwa vizuri akeshe! Si ajabu jamaa anaachwa asome gazeti kwa wakati wake na kivyake vyake. Kwa mwendo huo halisomeki na lazima atakesha. Huyo dada achukulie hilo suala kama zawadi ya nguvu na alitumie vizuri. Jamaa takuwa anaomba ruhusa haraka au anawahi foleni ili amwone mrembo wake. She must be very lucky although she is unknowingly sitting on Gold on Diamond like poor Tanzanians.
 
Geoff ,,,eeh binamu ushauri wako unabomoa
sasa mam'ii inapofika muda waifu ananianika kama hivi kwenye forum ya watu makini anategemea nin?

kuna wanawake wengine wanapenda mikiki-mikiki kama ya jamaa...!hivi wamesha m-piemu mtoa mada kwa mawasiliano zaidi!😀
 
Ongea na mumeo atapunguza tu, ila jitahidi umpe kila anapotaka inamaanisha huyo hajaanza kutoka nje ya ndoa ni vizuri, elewaneni tu vizuri angalia usimfukuze akatafuta mwanamke mbadala.
 
Inaonyesha jamaa anatumia sana pombe kali, muanze kumshauri apunguze pombe kali kama Valuu.
 
mama kama ulikubali kuolewa mbona hiyo kawaida kabisa, kupewa hardcore!!!! ndo raha ya ndoa
 

maisha ya ndoa .... hapo mzee angekuwa anapiga kibao chake kimoja kwa mwezi pia mama angelalamika vile vile kwamba hapewi haki yake ya ndo na kumshutumu mumewe kwamba ana kimada .... sasa unapewa haki yako eti unalalamika imezidi ... duh! 🙂

just kidding .... jamani ushauri ni kuyazungumza then waelewane!

MDBD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…