Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Hapo napishana tu siku nikifika huko mara tangazo lingine nahitaji mme miaka 28-32, na ninakuwa tayari nimepita.
 
Natafuta mume mwenye umri kuanzia 45 na kuendelea me ni single mother nahitaji mume wa kuzeeka naye Sasa akiwa single na watoto itapendeza
Mimi ni muajiriwa serikalini.
Awe na hofu ya Mungu
Awe pia mpambanaji
Ajue majukumu yake kama baba wa familia
Kwa upande wangu Nina miaka 40
Nilishawahi olewa ila nimedivorce Kwa miaka minne Sasa
Aha ha ha ha aa samahani Kwa kucheka madamu..
Lea tu wano umri wote huo mume wa nini.
.Huo ni umri wa wajane kabisa
 
Badilisha hilo jina. Nalo lina mkosi ndani yake. Mpambanaji mpaka kufa si jambo la kheri.

Maana yake wewe utaendelea kupambana tu. Hakuna la maana litakakokaa sawa kwako. Yote ni kupambana tu, hata kwenye mahusiano.

Jipe jina lingine. Kila la kheri.
 
Ukute dume hili. Wazee wakuzama DM kuweni makini.
Screenshot_20230426_093431.jpg
 
Back
Top Bottom