Mume anatafutwa

Hapo napishana tu siku nikifika huko mara tangazo lingine nahitaji mme miaka 28-32, na ninakuwa tayari nimepita.
 
Aha ha ha ha aa samahani Kwa kucheka madamu..
Lea tu wano umri wote huo mume wa nini.
.Huo ni umri wa wajane kabisa
 
Badilisha hilo jina. Nalo lina mkosi ndani yake. Mpambanaji mpaka kufa si jambo la kheri.

Maana yake wewe utaendelea kupambana tu. Hakuna la maana litakakokaa sawa kwako. Yote ni kupambana tu, hata kwenye mahusiano.

Jipe jina lingine. Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…