Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;
Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.
Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja
Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.