Mume anatafutwa

Mimi Niko tayari naomba namba ya simu Kwa mawasiliano zaidi.
 
Nimekuelewa, nitumie namba ya simu
 
Niko serious , naomba namba ya simu
 
Akifika 36au 37 atapunguza masharti tena
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa
 
Mbona umekazia sana kwenye "KIPATO" Kuna ndoa kweli hapo ?

Ina maana siku kipato kikiyumba hakuna ndoa tena dear ama.
 
K haijawahi kuzeeka, keep that in mind
Yani Hauna cleen Sheet mana una mtoto mmoja.

Baba mtoto kakukimbia

Una miaka 34+

Uje ujilinganishe na vitoto vya 2005??... Eti K haizeeki?

Ww una matatizo ndo mana huko mtaan huolewi wenzako wanakukanyaga tu na kukimbia

Em vitoto vya 2004 hadi 2007 vipewe heshima zao
 
Vitoto vibichi kabisa hivi ..tuache utamu wote huo ukaoe mikosi mshangazi wa 34 years imagine iyo K itakuwaje😂😂😂😂
 
Vitoto vibichi kabisa hivi ..tuache utamu wote huo ukaoe mikosi mshangazi wa 34 years imagine iyo K itakuwaje😂😂😂😂
Aseee!, Anazingua sana kusema et K haizeeki. Hiyo ya 34+ yrs inaweza kutoa ile maziwa wako nayo 2005's??

Na unakuta uyo mtoto wake akiamka asubh anakusalimia "Shikamoo Bro! 😂😂😂
 
Mimi niko Dodoma ila uliposema mchagga basi umenitoa kwenye pambano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…