Mume anatafutwa

Nakutakia kila la heri.
Umenikwaza tu hapo uliposema hutaki mchagga.
 
Ushanipata mwali, twenzetu PM...😘
 
"K" imeishatembea kilometa ngapi? Tuanzie hapo!
 

Hakika umempata niko hapa. Umri 33, Masters in Psychology and Behaviour Analysis . Kazi ya serikali nipo Singida.
 
Mwenyezi Mungu akufanikishe haja na nia yako njema.

Muhimu sana ni kutokukata tamaa kutafuta na kuomba unachota hasa maeneo ambao hao unaowatafuta wako, mathalani kanisani unaposali....

Mungu akubariki sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…