Mume anatapika na kula maembe mabichi! Mkewe ni mjamzito wa miezi mi 3, hii imekaaje?

Nenda kapime kojo hilo, inawezekana ww ndo unamimba!!
 
Naona hiyo ndo demokrasia katika ndoa au kusaidiana mume na mke - wataalamu watatuasaidia katika hili
 
CBZ hiyo kitu inatokea mara nyingi tu, hata mie mimba yangu ya pili ilikuwa hivyo, zaidi kwangu nilikuwa napenda kula mihogo ya kuchoma, yeye yale ya kwangu ya mimba ya kwanza yalimuhusu, kwanza tulijua cjui ni malaria au nini, hakuna lolote kuja kush2kia nina ujauzito, aliendelea hvyo mpaka miezi 6 ya ujauzito wangu mambo yakawa yanapungua kidogo, kama kutapika asubuhi kulimuisha kabisa.
 
Hayo mambo Sumbawanga sio mageni kabisa.
Mke akichoka huwashauriana na mumewe then vurugu zote za mimba huamia kwa mwanaume hata uchungu pia kasoro kujifungua tu.
 
Oh, kumbe! Sasa kuna uhusiano gani hasa katika hili suala la mimba na mwanaume kutapika etc?
 
Nyamayao are you serious on this? yani nikipata kaujauzito inshallah baba mtoto anaweza pata hizo shuruba na mie nikawa swafi tu?? I love this.
 
Hayo mambo Sumbawanga sio mageni kabisa.
Mke akichoka huwashauriana na mumewe then vurugu zote za mimba huamia kwa mwanaume hata uchungu pia kasoro kujifungua tu.

haaa jamani kwanini sumbawanga tu, mbona mie yalinitokea na watu wa karibu yangu yanawatokea sana tu.....hapo kwenye red hakuna kitu kama hicho, uchungu umuhusu mwanaume?...
 
Nyamayao are you serious on this? yani nikipata kaujauzito inshallah baba mtoto anaweza pata hizo shuruba na mie nikawa swafi tu?? I love this.

very serious, inatokea sana tu....cwez kuelezea kisayanc lakini ipo sana tena sana,yaani vituko vya mimba vinahamia kwake, mie yalinitokea hayo na ilikuwa ngumu kwangu kujigundua kama mjamzito coz ckuona tatizo lolote kumbe ndio imehamia kwake.
 
Duh...! Hii kali kwelikweli....! Labda sayansi bado haijafika huko. Mie yangu macho na masikio....! Lakini jamani nipo Sumbawanga, nifanyeje haya yasinitokee?
 
Ikawaje siku ulipo ingia labour?
 
haaa jamani kwanini sumbawanga tu, mbona mie yalinitokea na watu wa karibu yangu yanawatokea sana tu.....hapo kwenye red hakuna kitu kama hicho, uchungu umuhusu mwanaume?...

Ngoja nimpigie simu mama nanhii akacheki ujauzito....hapa natapika sana aisee...:confused2:
 
Duh...! Hii kali kwelikweli....! Labda sayansi bado haijafika huko. Mie yangu macho na masikio....! Lakini jamani nipo Sumbawanga, nifanyeje haya yasinitokee?

ningependa kila mwanaume imtokee hiyo japo tusaidiane majukumu, wewe mihangaiko hiyo mie pain ya labour.
 
It happens nimeishasikia several cases regarding hii kitu
 
Nyamayao are you serious on this? yani nikipata kaujauzito inshallah baba mtoto anaweza pata hizo shuruba na mie nikawa swafi tu?? I love this.
Tehe tehe!!! dont push back your plans kwasababu ya hii kitu! uwongo mtupu!
Ninywe mm ulewe wewe??!! uliona wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…