lakini, Nyamayao Mwenyezi mungu alishagawa majukumu toka anawaumba Adam na Eva. Adam atatafuta mali/chakula kwa shida na Eva atabeba mimba na kujifungua kwa uchungu!sasa hapo wanawake mnataka nini zaidi, hamuoni kuwa yote hayo ni mipango ya mungu na aliibariki iwe hivyo?!!!!!!
Bigirita bwana....haaa! hapana inatokeaga sana jaamni.
Acha utani, mwenzako anaomba ushauri. Akapime kojo wakati ameshasema mkewe ana mimba?Nenda kapime kojo hilo, inawezekana ww ndo unamimba!!
duu hii chemistry imenishangaza sana, kuna nyingine niliwahi kuona mdada ana ujauzito na mzunguko wake wa mwezi anaupata kama kawaida, kipindi ananyonyesha mzunguko wake ndo ukasimama
hiyo kwangu kiboko khaa! mie nimeona ile mdada anaingia period kama kawaida mpaka mimba ilipofikisha miezi 5 ikakata, na amejifungua bila tatizo lolote, wakati kwa wengine ukiona period tu kama una ujauzito mara nyingi inaambatana na mimba kuharibika au ndio bed rest zanaanzia hapo.
duu hii chemistry imenishangaza sana, kuna nyingine niliwahi kuona mdada ana ujauzito na mzunguko wake wa mwezi anaupata kama kawaida, kipindi ananyonyesha mzunguko wake ndo ukasimama
Kugawana majukumu kivipi?.....wewe miezi minne na nusu na mimi namalizia au wewe ulalamike unataka chips mayai saa tatu usiku mm nikimbie kama trolly kwenda kutafuta chips? dadavua basi!Nyamayao taratibu sio wote wengine wanajua jinsi gani ubebaji mimba ulivyo mgumu ni kweli kwa namna moja au nyingine linapokuja suala la kubeba mimba tungekuwa tunagawana majukumu basi mambo mengine yangekuwa yanaenda vizuri tu na mtu angeelewa adha ya kubeba mimba ilivyo kwahiyo ni utu wa mtu na kuthamini yule mtu aliyebeba kile kiumbe tumboni na kiumbe chenyewe pia
wewe umewahi kuona wapi mimba abebe my switi potato, then dalili aonyeshe switi cassava?Acha utani, mwenzako anaomba ushauri. Akapime kojo wakati ameshasema mkewe ana mimba?
Kugawana majukumu kivipi?.....wewe miezi minne na nusu na mimi namalizia au wewe ulalamike unataka chips mayai saa tatu usiku mm nikimbie kama trolly kwenda kutafuta chips? dadavua basi!
wewe umewahi kuona wapi mimba abebe my switi potato, then dalili aonyeshe switi cassava?
Nilitaka nitafute kabinti.....ila sasa nimeghairi rasmi.....
Hii kitu ta kulishana maudongo hapana!
hiyo kwangu kiboko khaa! mie nimeona ile mdada anaingia period kama kawaida mpaka mimba ilipofikisha miezi 5 ikakata, na amejifungua bila tatizo lolote, wakati kwa wengine ukiona period tu kama una ujauzito mara nyingi inaambatana na mimba kuharibika au ndio bed rest zanaanzia hapo.
Nyamayao naona ujuzi wako wa kutosha ngoja bibie akiishakamata kile kitu nitakuja kwako kwa ajili ya counsel.
nakukaribisha kaka.
nitakupa binti yangu....lol, kwani umeambiwa ni lazima itokee hiyo hali?...wacha uoga hebu panda mbegu huko.
Najua nitakuwa nahangahishwa mara ohoo nataka samaki wa maji baridi sitaki wa chumvi nataka mchele wa mbeya si huo wa morogoro nataka kuku wa kuchoma sitaki wa kukaanga ninahamu na mapera ukitoka kazini niletee mapera unaanza kupiga mahesabu mapera utayatoa wapi nataka juice sijui ya nini dah yaani kumbe mimba habebi mmoja mnabeba wawili maana hata huko kutumwa niletee hiki mara kile na wewe hapo umebeba pia on her behalf