Mume anatapika na kula maembe mabichi! Mkewe ni mjamzito wa miezi mi 3, hii imekaaje?

Utanipa binti ambae tayari yupo au mimi na wewe tutatafuta binti?:smile-big:.....
ila bado hii bayo-fiziks haijaniingia kichwan...

nakupa ka kwangu....au unatakaje?:confused2:
 
oooh hatimae kina baba wameanza kuonyeshwa hatua tunazopitia katika kipindi chote cha ujauzito..
asanteni kutusaidia .
 
Hii nzuri sana.Inaleta usawa.Na munug naye huwa anajua kufundisha watu kwa namna za ajabu sana.
Na inaonyesha huyu mwanaume ana upendo wa dhati kwa mwenzie.
Punguza speed mamaa mbona thread haikimbii hii!!:becky:
 
Roya Roy ndugu yangu.....usije ukaombe ukute umeharibu kabinti kwenye infi, sasa ndo mimba imehamia kwako unaanzaje kujieleza kwa mamsapu kuwa unataka udongo saaa sita za usiku? sio kitu ya kuombea hii mpwa! LOL
 
Hii nzuri sana.Inaleta usawa.Na munug naye huwa anajua kufundisha watu kwa namna za ajabu sana.
Na inaonyesha huyu mwanaume ana upendo wa dhati kwa mwenzie.

"What other people think of you is none of your business"

Zion Daughter hii signature ya ukweli nimeikubali
 
Mpwa mi huuwa namwamini sana shemeji yangu huyo.....Biggie anafaidi sana apo:becky:
 
Roya Roy ndugu yangu.....usije ukaombe ukute umeharibu kabinti kwenye infi, sasa ndo mimba imehamia kwako unaanzaje kujieleza kwa mamsapu kuwa unataka udongo saaa sita za usiku? sio kitu ya kuombea hii mpwa! LOL

Mpwa umeniacha hoi sana hapo inabidi uwe na kikopo chako umejaza udongo ila waifu akigundua ndio utaanza kuulizwa maswali na majibu sijui utayatoa wapi kwani mpwa kipindi kile wakati na wewe unasikia kichefuchefu ulikuwa unafanya nini LOL
 
Utanipa binti ambae tayari yupo au mimi na wewe tutatafuta binti?:smile-big:.....
ila bado hii bayo-fiziks haijaniingia kichwan...
hahahaa!!! atakupa, kwani wewe shida si binti? :eyeroll2:
 
Roya Roy ndugu yangu.....usije ukaombe ukute umeharibu kabinti kwenye infi, sasa ndo mimba imehamia kwako unaanzaje kujieleza kwa mamsapu kuwa unataka udongo saaa sita za usiku? sio kitu ya kuombea hii mpwa! LOL

Kiongozi hapo utakua umekwisha!
Halafu si hawa wataalam wetu wanasema ili hii ikutokee inabidi uwe umependa kupitiliza???....sasa kupenda infii hadi kupitiliza.....dah..balaaa!:mad2:
 
Mpwa umeniacha hoi sana hapo inabidi uwe na kikopo chako umejaza udongo ila waifu akigundua ndio utaanza kuulizwa maswali na majibu sijui utayatoa wapi kwani mpwa kipindi kile wakati na wewe unasikia kichefuchefu ulikuwa unafanya nini LOL
Mkuu usiwe na wasiwasi......kutaka udongo ni dalili ya upungufu wa madini ya chuma..........sasa sisi tunakula maini na mafigo ya mbuzi na ng'ombe kila siku, supu ya samaki, na vimiminika kazaa, huwezi pata hamu ya kula maudongo bana!
 
Kiongozi hapo utakua umekwisha!
Halafu si hawa wataalam wetu wanasema ili hii ikutokee inabidi uwe umependa kupitiliza???....sasa kupenda infii hadi kupitiliza.....dah..balaaa!:mad2:

hahaha kiongozi, unajua kwa utaalam wetu inawezekana kabinti kakakupenda kumbe we hujui, sasa kakakutunuku.....:becky:
 
Mkuu usiwe na wasiwasi......kutaka udongo ni dalili ya upungufu wa madini ya chuma..........sasa sisi tunakula maini na mafigo ya mbuzi na ng'ombe kila siku, supu ya samaki, na vimiminika kazaa, huwezi pata hamu ya kula maudongo bana!

Asee hommie usiombe yakufike!:confused2::confused2::confused2:
 
Ule mpango wa UDOM nitautekeleza pindi chuo kitakopofunguliwa baada ya uchaguzi kwahiyo majaribio yangu yataanzia hapo mpwa natumaini utakuwepo kuangalia kama vipengele vya kwenye katiba navitimiza vilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…