Kinachotokea ni hiki hapa'...
Asilimia ya Watanzania wengi hawana elimu juu ya VVU.... inapotokea mtu anaambiwa yupo positive anapanic, mwingine anadhoofika, mwingine anahisi kwamba sio sawa na aise muathirika... ivo ndivyo inatokea hata kwenye swala la wadada wengi naowaona wakitafuta wachumba hapa'.. baada ya kujua wameathirika basi wanataka kua na Mahusiano na mtu mwenye hali kama yake.... lakini katika maisha ya kawaida gari nzima ndio inanguvu ya kusukuma gari isio na nguvu... pamoja na kwamba sio kosa mtu kufikia maamuzi ya kutaka mtu mwenye hali kama yake.. lakini asiweke ulazima kua "ili mtu awe nae, basi nawe awe positive"... hapo ndo tunapokosea.
Madada wa jukwaa hili ambao ni HIV +, mnaotafuta wapenzi na kuweka vigezo kua ni lazima nao wawe positive.,hakikisheni ni kweli umefikiria ukiwa hujapic, hujakata tamaa, hujatumia hasira wala hujajiona mkosefu.....
Remember...." A lot of Us tested Positive, and so many many people out there '... you don't have to worry that much, na kua na maamuzi yanayosaidiana na hisia za kupita' ".