gracejames
Member
- Apr 18, 2017
- 7
- 8
Pole mamy mungu atakupa wa kufanana nawe. Na hongera kwa ujasiriNaitwa paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wakuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayali kuoa.tafadhali hii ni muhusika siitaji dharau au kejeli.
Kwanini sister unataka mwanaume wa hali hiyo pekee na isiwe kwa yeyote wakati wako watu wanaishi kwenye mahusiano mmoja akiwa na vvu mwingine akiwa hana?Naitwa paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wakuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayali kuoa.tafadhali hii ni muhusika siitaji dharau au kejeli.
Kinachotokea ni hiki hapa'...Kwanini sister unataka mwanaume wa hali hiyo pekee na isiwe kwa yeyote wakati wako watu wanaishi kwenye mahusiano mmoja akiwa na vvu mwingine akiwa hana?
Wala huitwi Paulina bali unaitwa Grace![emoji1]........... Grace kwa nini unatudanganya jina lako?[emoji30] [emoji30] [emoji30]Naitwa paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wakuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayali kuoa.tafadhali hii ni muhusika siitaji dharau au kejeli.
Big up strong lady kwa kukubaliana na hali halisi,mungu akutimizie hitaji lakoNaitwa paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wakuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayali kuoa.tafadhali hii ni muhusika siitaji dharau au kejeli.
Kinachotokea ni hiki hapa'...
Asilimia ya Watanzania wengi hawana elimu juu ya VVU.... inapotokea mtu anaambiwa yupo positive anapanic, mwingine anadhoofika, mwingine anahisi kwamba sio sawa na aise muathirika... ivo ndivyo inatokea hata kwenye swala la wadada wengi naowaona wakitafuta wachumba hapa'.. baada ya kujua wameathirika basi wanataka kua na Mahusiano na mtu mwenye hali kama yake.... lakini katika maisha ya kawaida gari nzima ndio inanguvu ya kusukuma gari isio na nguvu... pamoja na kwamba sio kosa mtu kufikia maamuzi ya kutaka mtu mwenye hali kama yake.. lakini asiweke ulazima kua "ili mtu awe nae, basi nawe awe positive"... hapo ndo tunapokosea.
Madada wa jukwaa hili ambao ni HIV +, mnaotafuta wapenzi na kuweka vigezo kua ni lazima nao wawe positive.,hakikisheni ni kweli umefikiria ukiwa hujapic, hujakata tamaa, hujatumia hasira wala hujajiona mkosefu.....
Remember...." A lot of Us tested Positive, and so many many people out there '... you don't have to worry that much, na kua na maamuzi yanayosaidiana na hisia za kupita' ".
Labda alisahau jina lake la sasa akalitumia lile lililoko katika cheti chake cha ajiraWala huitwi Paulina bali unaitwa Grace![emoji1]........... Grace kwa nini unatudanganya jina lako?[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Waganga wa kienyeji mshawahi fursa.0762744505 yupo Mwanza anatibu HIV/ AIDS bure.
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Pole sana Grace katika hali unayoishi .... Ila katika hali uliyopo ndiyo niliyopo ....naomba uje inbox tuliweke Sawa hili tuone tunaweza kufanya nn ili kuweza kuishi pamoja ikimpendeza Mungu!!Naitwa Paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wa kuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayari kuoa.
Tafadhali hii ni muhusika siitaji dharau au kejeli.