Mume atalikiwa sababu ya "rungu" kubwa

hahahahahaha aiseee hii kali au bibie alikua hajawah jaman so alipofanya mara ya kwanza akapata maumiv akidhan ataendelea kuumia duuuuuuuuuu
 
Uwogaa tuu!! Kwani bibi hajamwambia afanyeje Kama kubwa? Au anakiji shamba boy chake......
 
Good for her, tendo la ndoa linapokuwa karaha hakuna faida ya ndoa hapo!
Ndio umuhimu wa kutaste kabla ya commitment unapoingia.

nakupa 5 hapo kaunga
 
Wengine wanapenda makubwa so ukijaribu before itakusaidia
 
Gazeti la kasheshe lipo jamani au ndio tunalereana stkry za 2001
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…