Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nimeona kabisaaaaaaaa tena jamaa walikutana chat room! Hahaha na kwasasa wana watoto wa 3...maish yanasonga!:smiling:Jamani naomba ushauri,Je kuna mtu kashawahi kuolewa au kuoa mtu kutoka kwenye mitandao ya marafiki kama Twitter, face book n.k?
Jamani naomba ushauri,Je kuna mtu kashawahi kuolewa au kuoa mtu kutoka kwenye mitandao ya marafiki kama Twitter, face book n.k?