Mume auawa na mke Kisa wivu wa kimapemzi

Mume auawa na mke Kisa wivu wa kimapemzi

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Heri ya mwaka mpya in advance..

Wanaojua kupenda wamefanyana yao huku.

Kama huwezi kuvumilia usaliti acha kuoa au kuolewa.Yaani niende kufia jela Kisa mtu katoa mbunye yake? Will never happen.

Wanaume muwe mnaangalia wake mnaooa ukiona ana viashiria vya ushari achana nae mapema maana utakuja kuuwawa ikizingatia kuchepuka ni lazima .

Screenshot_20211231-124024.png
 
Mapenzi pia nafikiri sio kwa ajili ya kila mtu.....

Ni ugonjwa wa wachache sana
 
Mke aliona mumewe anatoka na jimama lina mzigo kama huu na yeye ni flat-screen! Akaona isiwe kesi
JamiiForums1207585110.gif
 
Damn! yaani unatiwa moto unaiva kama ndafu
 
Heri ya mwaka mpya in advance..

Wanaojua kupenda wamefanyana yao huku.

Kama huwezi kuvumilia usaliti acha kuoa au kuolewa.Yaani niende kufia jela Kisa mtu katoa mbunye yake? Will never happen.

Wanaume muwe mnaangalia wake mnaooa ukiona ana viashiria vya ushari achana nae mapema maana utakuja kuuwawa ikizingatia kuchepuka ni lazima .

View attachment 2063946

nmeona hadi mtoto kaungua usoni sasa sijui lengo lilikua nikuteketeza familia yote yani inasikitisha sana picha znatisha 🥲 mwamba apumzike kwa aman dah.
 
Back
Top Bottom