Jamani nina jirani yangu yuko soo frustrated na suala la mke wake kuchukua family dominance kiimani kwasababu mwanzo walikuwa wanaenda njia moja na mmewe na watoto wao. Ghafla mke kaanza kwenda kusali sabato na watoto kila jumamosi na kumuacha mumewe akisimama kanisani mwenyewe. Sasa hii imemuadhiri mwanaume kwa kuona kama amebaki mwenyewe. Amejaribu kuongea na mkewe amegoma kusikia. Jamaa amesha tishia kumwacha mkewe kwani amekuwa akimislead watoto wa huyu baba. Tusaidiane afanyeje? this is a true story
Amwache Mkewe anendelee na imani yake mpya, na yeye vivyo hivyo aendelee na Kanisa lake. Kwani si anakwenda kuabudu! Sasa bila Mkewe na watoto Mungu hatamsikia? Aendelee kumwombea Mkewe abadilika kama anadhani anakwenda njia mbaya. Wazo la kuachana alifute kabisa kwani litachanganya familia nzima na yeye akiwemo.
Kwauzoefu wangu Mungu hapendi kuhusishwa na siasa, hata zakifamilia. To be honest watoto nivigumu kuwa na dini in a true sence. They simply accept whatever they are taught and there is a need to make sure watoto wanafundishwa imani na wazazi mpaka pale watakapo kuwa tayari kutambua kinachowafaa. Their minds are young and unable to comprehend the difficult concepts of religion. Wanakuwa spoon fed simplified religious teachings which they take to be absolute truths and this is hardly ever the case. So kama wewe ni mkristo wafundishe watoto wako ukristo na kwa mfano wako mzuri watafuata tuu. Haya mambo ya madhehebu ni siasa tuu za binadam. People need to remember that.