Mume dume la Simba

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Engineer msomi, 36 years old. Yuko mascular, jitu la miraba minne, urefu futi sita na nchi kumi, manish face, kichwani yuko njema na mfuko umenona.

Kitandani bao 1 ndàni ya dakika tatu, je nufanyeje aweze kwenda hadi nusu saa ili nfurahi?Kala asali na vitunguu saumu hamna nafuu.
 
harudii tena mpk kesho au mpk ipite week ndo stimu zije au ye akipiga moja tu nguvu tena hana au hawezi kusimamisha tena mpk kesho
 
hutosheki? kwani we unataka ngapi kwa mfano?
 
harudii tena mpk kesho au mpk ipite week ndo stimu zije au ye akipiga moja tu nguvu tena hana au hawezi kusimamisha tena mpk kesho
anapiga kimoja ndani ya dakika tatu, kisha baada ya dak 11 anapiga kingine tena, anafanya hvyo hata mara 5 kwa masaa ma2
 
anapiga kimoja ndani ya dakika tatu, kisha baada ya dak 11 anapiga kingine tena, anafanya hvyo hata mara 5 kwa masaa ma2
yupo vizuri huyo. ni tamsa zako tuu ndio zinakusumbua.
 
Usimlaumu! Wewe pia wakulaumiwa Tena sana.....
 
Unajua kufanya mapenzi kunahitaji mjengeko mzuri wa hisia, jifunze nmna ya kutengeneza /kuandaa saikolojia yenu kabla ya kuuwasha moto
 
mfanyie tezi dume ili mume wako awe dume la simba kama ulivyosema
 
anapiga kimoja ndani ya dakika tatu, kisha baada ya dak 11 anapiga kingine tena, anafanya hvyo hata mara 5 kwa masaa ma2
Sasa Wewe ulikua unatakaaje labda,, cha kwanza apige kwa nusu saa, cha pili dakika 45, cha tatu saa moja na nusu, cha nne masaa mawili cha tano masaa matatu au?? Au huwa hakufikishi Kibo na Mawenzi?🙄😳
 
Msitumie Kinga...apige na kumwaga ndani kisha aendelee kuchochea.

NB: uwe na mvuto maana kama huna atakosa cha kuvutia hisia.
 
Mwambie huyo Engineer aache kubeba vitu vizito. Siku hizi kuna forklift na crane. Injinia gani huyo anapiga kazi za vibarua za kubeba zege? Ndio maana anakuwa na poor performance... Other wise anahitaji ushauri wa kisaikolojia...
 
Wanawake bana!! Hivi mnajua kupiga bao mapema ni dalili kuwa huyo jamaa anakufeel sana kiasi anashindwa kuzuia hisia zake??

Hilo tatizo lipo ndani ya uwezo wako
 
kama pesa anayo basi hajataka kupona huyo, changamoto kubwa ya ugonjwa huo ni matibabu yake coz madaktari wanajua ni dili!
 
Hawezi kupew vyote ridhika na ulichonacho maisha yanasonga Mungu si Athumani
 
harudii tena mpk kesho au mpk ipite week ndo stimu zije au ye akipiga moja tu nguvu tena hana au hawezi kusimamisha tena mpk kesho
Yaani ni kama simba, anapanda na baada ya kamuda si karefu anashuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…