Mume H.I.V anaitajika

Hii Hali hajaumbiwa milima tumeumbiwa sie binadam yakikukuta halhambdulillah usimkashifu Na kaa ukijua maisha Bado yanaendelea Na ukimwi is around the corner
Etii ungemtafuta muathirika mwenzako, je uliathirika kunywa chai mliyeambukizana si mkaoane!
 
ni
ni Kweli mkuu nashukuru sana
 
cku hizi HIV ni kama mafua, kitisho ni EBOLA
 
Etii ungemtafuta muathirika mwenzako, je uliathirika kunywa chai mliyeambukizana si mkaoane!
Wacha tuwe na hesima mkuu, kuna watu wanazaliwa na hii HIV, so sio mpaka mtu akupe hii hiv, tena unaweza pata kwa njia ya kuongezwa damu ambao haijapimwa poa, ama njia ingine sio mpaka awe huyu dada alilala na mtu, kumbuka huyu binti ni dada ya mtu, mtoto wa mtu na binamu wa mtu, so acha tumupatie hesima yake, barikiwa my freand
 
Maswali ya kejeli si mazuri Hakuna anayependa kupata ugonjwa huu
Mufundise dada, sio mpaka uwe ulilala na mtu, kuna watu wanazaliwa na wazazi ambao tayari wako na hiv, so si poa huu mtu kukutusi, hakuna anae nunua ukimwi kwa supermarket
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…