Mume H.I.V anaitajika

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta Mwanaume mwenye Hali Kama yangu.kama unauhitaji wa mtu Kama Mimi plz pm mengine tutajuana mbele ya safari
HIV sio tisho tena kwa maisha ya leo japo hatari ipo lakini ni kama hatari ya magonjwa na hali zingine tu na mengine ni hatari zaidi ya HIV. Tatizo ambalo ni kubwa kuliko hata ugonjwa wenyewe ni UNYANYAPAA na hakika bado tuna safari ndefu kwenye hili. Kuna watu hufikiri kwamba ugonjwa huu sio wa dunia hii, hauwahusu na wapatao maambukizi ni watu wa ajabu kabisa wasiofaa kabisa kila mahali kwenye jamii. Wanawaza hivi ilhali na wao pia wapo kwenye mazingira hatarishi na wanaishi kama binadamu wengine wote na uwezekano wa kupata maambukizi wanao tena mkubwa tu. Wengine hawakuwahi hata siku moja kutazama afya zao kwa kina. Ishi maisha yako bibie, ipo siku wataelewa nini maana ya haya maneno.
 
Fact
 
Usiseme lugha ya namna hiyo Wewe mwenyewe Ni miongoni mwetu ila haijawa confirmed
Safi Sana umempa jibu KONKI

Nakutakia heri dada yangu umpate wa kufafanan nawe hakika MUNGU ni muweza yote

Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…