mume hatoi unyumba



Lawyer kuna wale ambao wanaishi mapenzi ya miaka 47, kuongea vitu vinavohusiana na Mapenzi na mkeo ni kama kujidhalilisha na you as a man kuambiwa kua hujui utendalo. Sex yenyewe ni wakati wa giza tu na kuvua zote marufurku! Hivi mwanaume wa namna hio pale itapo tokea kwa sababu zozote zile apoteze nguvu zake za utendaji... Do you think aweza ambia the wife?

Na kumbuka kua kuna wanaume wengine wapo sooo weak. Yaani yeye hata mara moj kwa mwezi inatosha tena sio zaidi ya goli.... huyo ukileta mzaha anaweza kukuweka jangwani miezi 6 kabisaaa....
 
Hivi wewe ulale na njemba miezi mitano halaf ikwambie haiwezi kukudownload kwasababu imetishwa na operesheni ya mgonjwa utaitafsiri vipi? hii haihitaji kamkoda bana

hahahaaaaaaaaaaaaaaaa, lazma kuna nesi anakamua masalia aisee na kumuacha jamaa na urine tu
 
AshaDii kuna wanaume wengine hata wakiwa na vimada watano nje lakini akifika nyumbani anajifanya mpole na mwenye heshima sana. Siyo wote wenye jeuri.
 
Yaani Ashadii nakubaliana na wewe 100% lakini hivo anavyofanya ndio anazidi kudhalilika na kwangu mimi mwanaume anaecheat ndio anakuwa wild zaidi kwa waifu ili kuficha ushahidi. Option za huyu jamaa ni mbili.

Moja: Jogoo limekwenda holidei na halipandi mtungi (Ingawa hapa pia ili kulinda heshima inabidi akae chini na mke wake waongee ili aeleweke kwani kukaa kimya na akampa waifu mgongo tu ni kuidhalilisha jinsia yake)
Pili: Amekubali kupokea misaada ya david cameroun.

Kwangu mimi option ya kucheat haiingii akilini adhawazi mleta mada atwambie kuna ugomvi ambao umepelekea kukomoana.
 
yuko wapi siku hizi, hii mada inamfaa sana

pal

genye ni soo, unaweza kuona dakika kama karne
..@Red, Nadhani unamaanisha Nyege. Kiswahili kinakua na kupanuka!!. Habari Za saizi MTM?
 

haka kabinti kana akili sana aisee
 

Aisee kuna haja nikupeke shule ya prokyuament, unasahau kwamba pipeline ikiwa full there is nothing you can do, you dont need to buy

kuhusu ukameruni, wala sina shaka, huyo jamaa ni viktimu wa mengi... waweza kuta kuna gogo, na maafa mengine mengi tu
 
Mpelekee hii..ni ndefu kidogo lakini itampa mwanga.

 
AshaDii kuna wanaume wengine hata wakiwa na vimada watano nje lakini akifika nyumbani anajifanya mpole na mwenye heshima sana. Siyo wote wenye jeuri.


Bintimkongwe.... Imani yangu juu ya wanaume kua na vimada nje ipo constant.... HALIPINGIKI.... Yaweza vary frequency ya hao vimada, idadi yao kwa pamoja na mara ngapi toka ndoa ifungwe between wanaume ambao ni wanandoa. Kama umenisoma vizuri sijasema kua hawezi kua na kimada nje.... Nimesema siamini kua kimada wa nje ndio sababu ya huyo Doc kushindwa toa matibabu humo ndani.

Mwanaume ambae anacheat tokana na ufahamu wangu wapo aina mbili katika misingi ya kujali mke kufahamu ama Lah.

A]. Kuna yule ambae anajali saana mke wake to the extent hakaki kamwe mkewe aje ajue hilo ila kwa bahati mbaya; Hivo basi mwanaume wa hivi hufanya kila ambali liko within his power kuhakikisha anaweka safe grounds za cheating.... Na moja ya hizo kanuni za hizo safe Grounds ni kuhakikisha kua Kamwe tabia ndani ya nyumba kwa mkewe ISIBADILIKE Asilani. Huyo Doc anamjali mkewe na ndio maana hujieleza mno to make her understand na ku sympathise kua HAWEZI! Inaonesha huyo mwanaume anajali feelings za mkewe... Hivo kama angekua na uwezo lazima angeakua anamgusa hata once a week....

B]. Kuna yule ambae hajali kabisaaaa mkewe anajua kuhusu hao wanwake ama Lah! Huyu mwanaume hana safe Grounds zozote for bottom line ni kua He does not give a damn mkewe ajua.... Na huyu mara nyingi ndio huja home asubuhi ama usiku.... Bila maelezo zaidi utaambulia ya mkato "Nilikua kazini, unadhani majukumu ya humu yataenda hivi hivi!" Na huyu hawezi kua responsible to the extent aweze hata jali na yule ndugu wa mkewe labda kama nae anampitia......
 

...duuhhh, aisee...namimi nimo kwenye kundi hilo ila sikujua kama tafsiri yake nipo "sooo weak"...lol!
mawazo yangu 'nimekinai' tu...
 
...duuhhh, aisee...namimi nimo kwenye kundi hilo ila sikujua kama tafsiri yake nipo "sooo weak"...lol!
mawazo yangu 'nimekinai' tu...

pal, huyu ashadii nampenda lakini anakua very explicit, hebu atueleze mwanamkw goli gapi kwa wiki (akikojoa yeye ndio zinamtosha?)

ukirudi uje chadibwa, tuna bendi siku hizi jana na juzi nilikua hape ni raha tupu
 
duh kazi kweli kweli
he, za kidunguche zimeingia.... leo kazi ipo!!! unatafuta nini huku kwa wakubwa we dogo??? hii mada ni ya wanandoa, kwani wewe pia ni mwanandoa?
 
pia inawezekana kabisa, ni wiki tano tu, sema mama genye imevuka mpaka anahesabu wiki kama miezi

...Naam, naaam....si unawajua kwa ku exaggerate mambo hawa...almuradi kuongezea chumvi wapate sympathisers..


...hapana kamanda. zipo namba tatu, nne, tano na sita...ikiwemo ile ya kila baada ya tendo
sumthing nasty comes up...mfano, "kuchunwa!"...kiasi kwamba wajiona sex inatumika kama bakora
ya kujichapia mwenyewe...

shost analipiwa ada na huyo mumewe mzumbe university na mdogo wake yuko CBE mwaka wa pili wote analipia huyo mume sasa anashindwa kuondoka mana akiondoka service zinatoweka zote izo...
 


Kloro.... That much I know.... Katika ndoa mapenzi moto moto hayawezi kua constant... there comes a time mwazoeana na hata kuchokana (haina maana hampendani.... NO!) Ila tu ile kua there is NO EXCITEMENT! Mara nyingi hii hali kuweza isha nguvu ipo saana kwa akina mama ili kuweza rudisha vibe.... Waanza kufikiria mautundu gani na kukumbuka hasa nini kinachompagawisha your Man before he has touched you.... then wafanyia kazi na vibe ya rudi... na pia yaweza potea tena. Inapokua sasa my Man from nowhere he is so into me and making love to me kila mara.... Then I know deep inside me kua there is a woman.... Anaweza akawa kalala nae.... Ama anatamani kulala nae to the extent ile lust anakuja ihamishia kwangu.... Nini nitafanya? That is another story kikubwa sitalaza damu wakati wa tukio.....

Hivo to God I know kua Cheating sio sababu ya kupungua kwa tendo ndani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…