Mume HIV positive anaitajika

Eshat modo

Member
Joined
Oct 1, 2020
Posts
8
Reaction score
2
Habari zenu

Mimi ni kijana wa miaka 22 mpaka 24. Nafanya kazi kweny kampuni fulan Dar es Salam

Mwanaume ninaye muitaji awe na umri kuanzia miak 25 mpaka 30. Itapendeza zaidi akitokea Dar au mikoa ya jiran, aliye serious aniPM.

Asante
 
Hebu hapo kwenye kijana weka kabisa jinsia yako.maana binafsi naona maelezo haya Ja kuwa clear.edit kidogo.

Vinginevyo...Mungu akutangulie ndugu yangu upate hitaji la moyo wako.Amen
 
Hongera kwa kuwa muwazi na kutotaka kuambukiza wengine kwa lazima.
Mnaotumia ARV kwa kujificha na kutembea na wasio na maambukizi makusudi MUNGU ANAWAONA
 
Vp kwa mtu ambae yuko HIV negative ila yupo tayari kujilipua kama mfuasi wa ISIS,anaeza kuja?
 
Hahahaha umenifanya nicheke bila sababu ndugu yangu
Vipi kuhusu hali yako nyamanyama bado zipo au ushafikia kama Wema Sepenga nijibu nione najifunga vipi makombora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…