Mume huyu hapa

Joined
Jul 29, 2012
Posts
25
Reaction score
8
KWA WA DADA WANAO DHAMINI MAHUSIANO...

UNA ZAIDI YA MIAKA 26, UMESOMA VIZURI, UKO PRESENTABLE (BEAUTY), USIWE MTU WA CLUB, UNAMUAMINI MUNGU NA MWISHO- UNAISHI ARUSHA?
KWA SASA MIMI NAISHI ARUSHA, NINA KAZI NA NAJITEGEMEA....KAMA UKO SERIOUS; PLEASE GO FOR IT! NAAMINI HUTAJUTIA

unaweza ni pm messeji zote zitajibiwa ndani ya siku moja
 

wewe una miaka mingapi? hujaweka limit ya miaka unanipa wasawasi yawezekana una miaka 90 kwakweli kwangu utakuwa mzee sana.
Una elimu gani?
Ungespecify na dini gani tusijelumbana kwa watoto.
About beauty sijui because it lies in the eyes of the beholder.
 
What One Man Doesn't Another Man Will
 
Aisee hujapata mpaka leo?Upo tayari kuwa Mkristu kufuata dini ya mkeo mtarijiwa?Manake hizo sifa zote hapo ninazo kasoro 2,naishi Lindi na miaka 40. manake mpaka nakuonea huruma tangu umetangaza ?
 
Inaelekea wewe ni mgeni arusha. Nenda Shiverz au maeneo ya Ken Garden.
 
Nashukuru kwa maoni yenu...Mimi nina umri wa miaka 39, nina Elimu ya chuo kikuu, naishi Arusha, Frankly napendelea mdada wa miaka 27 hivi hadi 32. Nimezaliwa katika familia ya Kichagga yenye imani ya kiislam. Natumai nimejibu maswali yote. Shivez - na pafaham ila panafaa mtu aliyekata tamaa na maishaa....
 
CV yako mbona nzuri sioni tatizo ukose mtu, lakini subiri watakuja.
 
Ningekupm tatizo mm nimezaliwa ktk familia ya kikristo aisee na cpo tayari kuiacha..vuta subra watakuja tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…