Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

Kaka naomba ufute hii kuali yako ya kusema Kuna watu wamekulia mizizi hawarogeki hata ufanye Nini ndugu yangu futa hii. Labda awe haja nikosea lakini amenikosea alafu analeta jeuri 😂😂😂😂. Labda niamue kumsamehe tu
 
Ndio maana Mungu Amekataza ZinaA visingizio kwamba eti mke kataka mwenyewe,mara utamjuaje mke wa mtu,havisaidia kwa maana kitendo mnachokifanya yaani kuzini kumekatazwa.NB:usimpangie mwenye mke cha kukufanya.
 
Narudia, hakuna kosa la jinai kwa kufanya mapenzi kwa hiari Yake (mtu wa jinsia tofauti).
Soma sheria ya Ndoa No. 29 ya 1971 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002 kifungu cha 72
 
Hivi huwa miitembea na wanawake walioolewa mnakuwa mnawaza nini? Mwanaume akichspiwa ni sawa na simba aliyejeruhiwa. Anaweza kukutenda vyovyote tu...

Mbona singles wapo sana tu.
Wanajitutumusha urijali
 
Narudia, hakuna kosa la jinai kwa kufanya mapenzi kwa hiari Yake (mtu wa jinsia tofauti).
Wakikufumania LIVE hayo maneno hutayatamka. Utageukia kibla wahuni wafanye Yao.
Kuna mzee mmoja alifumaniwa live akiwa uchi, walim tight wakamwambia ampigie mke wake alete pesa pale pale gesti huku akiwa uchi au ageukie kibla wampake mafuta halafu picha wazitume kazini kwake na kwa waumini wenzake. Mzee alitoa ushirikiano wa Hali ya juu.
Usiombe uzungukwe na watu watano wewe ukiwa uchi kibabia kimesinyaa huku umesimama na mikono iko juu huku unarekodiwa hujui picha zitasambazwa au la. Kisa K ambayo hata kwenye kisahani Cha chai haijai.
Mwingine alifumaniwa akaambiwa amnyoe yule mwanamke mavuzi, akahisi Ni zoezi rahisi, baadae wakaleta mishkaki na kumwambia ale Ile mishkaki Yale mavuzi ndio Kama chumvi.
Alikula Ile mishkaki kweli Ila alipoachiwa na kutoka nje alitapika kila kilichokua tumboni, Bahati yake enzi zile hakuna simu zenye kamera.
 
Utaua wangapi? Kwani unadhani mkeo hatombeshi nje?
Kugongwa agongwe nikiwa cjui chief. Lakin nakukuta nae. Najua jukumu la mwanume yeyote ni kuilinda familia yake. Huwez kumuacha kima mmoja aharibu familia yako kirahic. Ataharibu lakin na yeye yake hataona matunda yake.
 

Hayaaa wata ku P. Diddy yaani ushaingia motoni, na ujue siku hizi wanatoboa na macho kabisa wakikufanyia unyama, andaa mafuta ya K-Y kubwa au Vaseline kubwa ile ya nusu lita, au hama kwako au hama mji nenda mkoa mwingine, ni hatari sana sikutanii🆘🆘🆘🚫❌❌🩸🩸🧨🚨🧰🎈🧱🧱🧱🧱🧱
 
Nakushauri sana fuata ushauri katika Post namba 2.

jamaa kashauri kitu cha msingi sana
 
Eheee bado Yuko na huyo mwanamke?
 
Jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…