Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

We ulijiona mjanja kutembea na mke wa mtu ukajihisi ndiyo mwenye uume peke yako sasa ujiandae kupanda juu ukaangalie muvi.
 
Usijisifie upumbavu...
 

Mkuu hio mistari ya kwanza minne ufute
 
Sasa tatizo liko wapi hapo, yeye amesalitiwa na mkewe, kwani umembaka huyo kewe si mmekubaliana, msaliti ndio anakesi ya kujibu sio wewe.
 
Karma is a bitch

I just remind you boy
 
Kama ulipiga saa8 mpaka saa 12 mke wa mtu subiri mume wake atakupiga saa 12 mpaka saa8.

Financially yupoje?
Kama weak hawezi kuendelea na kesi atapambana na mkewe Kama strong kesi itaendelea.

Reaction yake ikoje?
Kama anakupigia sana simu na vitisho huyo ni weak emotion hawezi kufanya lolote Kama yupo kimya hapo chunga.

OK bytheway usidumu na mchepuko mda mrefu hivyo kata Kama ni mwalimu wa sekondari anakusaidia kuweka mafuta kwenye subaru.

Futa status yake, location yake, namna tukio lilivyotokea kwenye uzi wako. Hyo kata ya kibamba shule za sekondari zinajulikana hapa jf kuna wanakibamba kibao. Ni rahisi ku disclose.

Kiutumishi kutembea na mke wa mtu au mume wa mtu ni kosa la kudhalilisha taaluma. Unatakiwa kujadilika na mamlaka ya nidhamu ikibidi kuachishwa kazi na utumishi.
 
Jamaa akitoka jiandae kufa
 
Naona unajiona mjanja sana kuaribu familia za watu
 
watu kama nyie mnachotakiwa kufanywa ni kupakwa mafuta tu
 
Labda ww ni njagu au mutu ya sisteme...haiwezekani ukavimb hivyo na mke wa mtu
 
Ulikutana na fara.
 
Mtu wa namna hii,yeye hata humgusi unahakikisha unadedisha familia yake yote wanae na wazazi wake na mke wake wote yeye akiwa anaangalia kisha unamaliza na yeye kidogo dogo.
 
Leta namba hapa tukusaidie
Ndugu hakuna ujanja katika kutembea na Mke wa mtu hata uwe na akili kama mchwa au na pesa-mtu atakulia timing atakuoata tu.Tumia akili,haya mambo yamisha gharimu maisha ya watu wengi.
Shukuru ulikutana na boys,maana mwanaume halisi mwenye akili yake kwanza siwezi kuja kutaka kukufamia ili iweje??,nikisha kuwa na ushahidi wangu nitafanya mambo yangu kimya kimya.Hayo ya kuja kufumania ni wapumbavu na wajinga ndio wanachukua hatua za namna hiyo.
 
Acha KUTISHIA watu. Kugharimu maisha ndo nn? Leta namba ya mkeo halafu ulete hiyo mikwara yako. Yaan umshindwe mkeo halafu ulete mikwara kwa wanaume?
 
Una vitisho vya kiuoga uoga. Wewe ukitombewa deal na mkeo. Kuna wababe zaidi Yako, na ukileta ubishi na wewe unapigwa.
Eti ukitombewa deal na mke wako! Kwahiyo wewe mtombaji ndo unampangia cha kufanya aliyetombewa?! Akili za ki-BRN hizi. Subiri utombewe wewe ndo u deal na mke wako lakini wengine ama wata-deal na mke au wewe, au wote, na ndo maana huyo jamaa unayejaribu kutetea ujinga wake aliyetombewa ali-deal na yeye halafu anadanganya watu eti mtombewa alikodi wahuni wakampiga picha! Wenye akili timamu wote wanafahamu aliyetombewa akikodi wahuni hao wahuni huwa wanakodiwa kwa kazi ipi; lakini kwa akili za watu aina yenu ndo mtaamini alikodiwa wahuni ili wakampige picha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…