Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

😄 et humtak,, kwann sasa ila wako nae akidinywa unafurahi sio??
 
Mke wa mtu sumu
 
Unajisifu ujinga mke wa mtu sumu hata ukishinda hiyo kesi angalia sana mwenendo wako na unatamba kabisaa?
Ipo siku mtu hatakuja na makamera atakuja tu kukufungua bucha
 

Hizo messages sio ushahidi? Kama Mimi ni jamaa ukikubali kuishi naye huyo mwanamke nakusamehe, ukileta ubishi, akili
Yangu sijui itakufanyaje,
 
Mwenyewe nina kesi ka hiyo..nimechakata mbususu ya mke wa jamaa flani.basi kila siku jamaa vitisho haviishi,me nimemjibu amalizane na mkewe huko coz mpaka namtongoza ananikubalia na anakubali kunipa papuchi alijua kuwa ni mke wa mtu,otherwise angenikatalia nisingemlazimisha.
 
Mahakama zina figisu nyingi sana ujue, unajuaje hukumu itakufavor wewe?

Nilidhani kesi iliisha na ukashinda!

Kesi za Afrika ni sawa na mchezo wa draft, ukijisahau kutega, kosa kidogo tu, unaliwa hadi kingi.

Ninachokubaliana na wewe ni kuwa, kesi za ugoni zinaangukia kwenye kesi za madai.

Lakini kudhalilisha na vitisho ni jinai.
 
Endelea tu kumdanganya mwenzio
WEnzio kibao washafanywa machizi mtaani kwa usenge wa design hii. Unaharibu maisha yako kwa kutembea na mke wa mtu alafu unajisifia kabisa mtaani kama sio uchizi ni nini
 
Pathetic
 
Mtaani kuna jamaa tena anacheo kabisa alikuwa anatembea na mke wa mtu jamaa akamfata akamchana mheshimiwa asubuhi kapeleka kesi polisi ya kutishiwa maisha kesi mahakamani jamaa ametombewa na ndani amekaa,(nguvu ya pesa)

Mpemba yule alichofanya baada ya kutoka akampa mke talaka na kumuachia kila kitu(tajiri) kuona hvyo ndo akawa wazi wazi anapaki gari nje anajipigia mapenz waz waz kilichotokea jamaa baada ya kwenda kwao pemba ni (mheshimiwa) mpaka sasa ni chizi kabisaa anaokota makopo na kujipaka kinyesi mke tumezika mwez ulopita baada ya kugongwa na lori
 
Subiria 'rofiki' tu kutoka Kwake.
 

Ni sahihi kabisa, haya mambo sio kutishia, unafanyiwa timing na kweli hutokea; ipo siku utakuja jutia haya unayojivunia nayo either ukiwa kilema au ahera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…