Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

Wewe utapakwa mafuta muda sio mrefu
 
Huyo anajidhalilisha mwenyewe, mwanamke kufanywa nje ni dalili tosha kwamba yeye mwenyewe ana mapungufu makubwa
 
Halafu unajiona mjaanja. Ndiyo maana visasi na mauaji haviishi duniani. Utembee na mke wangu halafu unifanyie ubabe, walahi nikitoka jela sisemi na mtu, kwa maneno, ila kifuatacho mtajua wenyewe.
 
Vipi mkuu Kuna kastori naona umeona noma kukaweka wazi kiduara kipo salama kweli?
 
Inanguruma mwaka wa pili jamaa akiwa nje Kwa dhamana si ndio? Unachomdanganya mwenzio ni nini sasa, huhofii jamaa anaweza kumdhuru nje ya Sheria??
Hata wewe akili huna ulitakiwa umalizane na mwanaume nje ya mahakama sababu si ni kweli umemdhulumu nafsi yake mwanaume mwenzio. Sio ujanja huo ni upumbavu
 
Lakini linda lako wasela walimega.
 
Asipofuata huu ushauri asimlaumu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…