Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

Hiyo sio Dawa, Dawa ni Kukaa mbali na wake za watu
 
mkuu anakupgia ukachukue mke kabisa badala ya kuiba ukaishi naye maana kaona mnapendana isiwe tabu kuiba iba anataka akuachie kabisa ili mfaidi sasa unakimbia nini.
 
Wake za watu punguzeni shobo kwenye pesa za wanaume. Mtaishia kuchezea koki mpaka kifo. Wewe umeolewa ya nn kupenda bia za bure? Mara sijui VICOBA unajichotea mipesa toka Kwa mwanaume ambae si wako?
 
Mambo mengine ni ushamba tu ,sasa wanawake wote hawa waliojaa hadi ukachukue mke wa mtu
 
Endelea tu kumdanganya mwenzio
WEnzio kibao washafanywa machizi mtaani kwa usenge wa design hii. Unaharibu maisha yako kwa kutembea na mke wa mtu alafu unajisifia kabisa mtaani kama sio uchizi ni nini
Wewe waache waendelee mkuu.Mimi kuna jamaa mmoja alikuwa anatembea na mke wa mtu,alirogwa tumbo likavimba kama mimba ya mbuzi pacha.Mwishowe lile tumbo lilikuja ku burst kama pancha ya tairi kubwa.
Mimi katika uhuni wangu wote,nimewahi kutembea na mke wa mtu mara moja.Ile ndoa hatimaye ilivunjika,nafsi yangu inanisuta na ninaumia sana na hii historia kwangu.Yule mwamba hakuwahi kunifumania,ila mkewe kwa kunogewa na penzi langu,alimletea kiburi na jeuri mumewe mpaka wakaachana,roho inaniuma kwasababu mimi ndo chanzo.
 
Usimshauri mwenzako kufanya huu ujinga.Atauliwa vibaya sana.Huwezi kumgonga waifu wangu alafu unaenda polisi kunishitaki eti nakutishia maisha.Nitakuua wewe na huyo hakimu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…