Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

Mnakula visivyo halali alafu mmeshindwa kuitumia teknolojia kikamilifu.... Whatsapp huwa ina option ya "locked chat", message zinaingia kimya kimya na hazionekani mpaka uingize password
 
Mimi huwa nasema madhara ya kutembea na mke wa mtu huwa ni makubwa sana yanagusa kila sehemu ya familia kuanzia uchumi, upendo, mauti, vilema, watoto ndo wahanga wakubwa kama wapo pia maumivu ambayo unapeleka kwa mwanaume mwenzio ni makali sana ila karma ya maumivu yote hayo lazima ulipe tu kama sio wewe watoto wako kama sio wao wajukuu wako na kuendelea, hakuna sababu yoyote ya kutembea na mke wa mtu kama hukuwa unajua ukijua acha au kama unajua usimsogelee kabisa.
 
Una vitisho vya kiuoga uoga. Wewe ukitombewa deal na mkeo. Kuna wababe zaidi Yako, na ukileta ubishi na wewe unapigwa.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti
 
Utaua wangapi? Kwani unadhani mkeo hatombeshi nje?
 
Hivi huwa miitembea na wanawake walioolewa mnakuwa mnawaza nini? Mwanaume akichspiwa ni sawa na simba aliyejeruhiwa. Anaweza kukutenda vyovyote tu...

Mbona singles wapo sana tu.
Unajuaje kama ni mke wa mtu?
 
Anza kutembea na DIDDY OIL
 
Kuna mambo mengi ambayo vijana au Wanaume mnayofanya na kujitangaza kwenye mitandao ni ya kijinga sana. Mke wa mtu ni sumu, ingekuwa ndio wewe Mke wako ungekundua analiwa na Mwanaume mwenzako ungejihisi vipi? Hizi ni sifa za Kijinga sana. Matukio yapo mengi sana unaweza ukafanyiwa. Usijione wewe ni Mwamba kumbe ni fala tu.
 
Jamaa baada ya kupasuka tumbo nini kilitokea? alipona au alikufa?
 
Nadhani weka Nguvu kubwa kwa mkeo. Utazika wangapi?
Wewe mshamba wa zenji usijifanye dunia imeanzia kwako, watu wengi tu wameangamia kupitia wake za watu, yaani wewe mshamba mmoja huwezi kuja badilisha ukweli huo
 
Siku si nyingi huo mwenendo wako kwenye Id yako jf itakuwa R.I.P
 
Itoshe kusema kama kuna sehemu umeziacha Akili zako fanya ukazichukuwe.
 
Mkuu endelea kula bibie tu. Badiisheni tu mikakati ya mawasiliano tafuta namba ya magumashi na endelea kwa Raha zako.
 
Chai
 
Huyo Jamaa ni Boya. Badala amalizane na mke wake anakuja kwako.

Hapo hakuna Mwanaume ndio maana hata mke wake analidharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…