Kila la kheri mama.....
wewe una umri gani, isije ukawa bibi
oh kila la kheri dada yangu ila kuwa makini ukishasema tu unafanya kazi baaaaasi watamiminika edit useme sina kazi au mama ntilie hutasikia pm be carefully in your selection!!!
40-45yrs bado anakusubiri tu?
Ukikutana na mwanamme wa umri hio single kimbia, atakuwa kimeo
Bora awe kafiwa na mkewe au mkewe kamkimbia.
Ninahitaji mwenza bado sijapata kwa alie tayari anipm. Nipo single mother nina mtoto mmoja 9yrs ambae hatajali tuanze mahusiano. Ninafanya kazi. Please kejeli sio busara i am serios
Upo single au mjane? Unakuwaje single na mtoto wa miaka 9? Mzazi mwenzio yuko wapi?
Ok, ngoja niliache hilo. Labda ungeelezea sababu zilizokufanya ushindwe kuwa na mzazi mwenzio ili umsaidie anaetaka kuja kuwekeza
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ohh, wewee umekosea ushauri wako.. Siye wengine tuna biashara zetu poa daily income hadi 15m. sasa ndo tutamininka ovyo? Kila mtu na bahati yake!!
wewe una umri gani, isije ukawa bibi
mimi nipo single na mzazi mwenzangu already ana mke hatuwezi kuoana na sihitaji mtu kuja kuwekeza kama unavyosema na tupo wengi sioni sababu ya kuniuliza maswali hayo kwani mume au mke ni mungu anapanga mwenyewe na umri sio tija