Kwangu huwa Bibi DC anafua tu.....Sijui kama ni lazima au la!!
Kwani wewe umewekewa mtutu wa AK47 ili uzifue haraka??
Ila nakushauri ufue mdogo wangu, kwani wale walioikosa hiyo bahati (MEMKWA) huwa wanaililia sana!!
Babu DC!!
Kwahiyo bibi akisafiri inakuaje babu?
Kwahiyo kwako ni lazima afue yeye...
Duh!
mimi kwa maoni yangu nitamwambia mama watoto tuchangishe hela hapa tununue washing machine na huzo kufuli zitadumbukizwa na nguo nyingine ndani ya washing mashine so hapo hamna anayefua bali mashine
usinunue hiyo mashine siku zote uje ununue sababu ya pichu?mimi kwa maoni yangu nitamwambia mama watoto tuchangishe hela hapa tununue washing machine na huzo kufuli zitadumbukizwa na nguo nyingine ndani ya washing mashine so hapo hamna anayefua bali mashine
Kama unaishi uswahilini maji utayapata wapi na umeme je??
Au wewe hizo shida ndogo ndogo hazikuhusu!
Babu DC!!
ni wajibu wa mwnamke kumfulia nguo mumewe.
wajibu ni jukumu amabalo huwa si lazima au hiyari lakini huwa imekaa kwamba huwa inatakiwa iwe hivyo kama ilivyo!
wajibu huu hauwezi kuwa applied kama mtu hayupo au anaumwa.
ni wajibu wa mwnamke kumfulia nguo mumewe.
wajibu ni jukumu ambalo huwa si lazima au hiyari lakini huwa imekaa kwamba huwa inatakiwa iwe hivyo kama ilivyo!
wajibu huu hauwezi kuwa applied kama mtu hayupo au anaumwa.