Mume kufuliwa nguo za ndani na mkewe

Kufua afue tu waifu. Kama nguo zingine anafua yeye, shida iko wap kufua kufuli???
 

Ndo maana watu kama wewe [MENTION]nyumba kubwa [/MENTION]mnapokuwa hampo jamvini tunapata shida kuwaelewesha wajukuu jinsi tunavyoishi na bibi zao....

Uwepo wako umeonesha kuwa kwenye wewe ni big house na small houses hawana chao..lol!!

Babu DC!!
 
Ina maana mume akijifulia au akinifulia na mimi anakua amekiuka????

sasa hapo yanakuwa ni makubaliano yenu au inategemeana na mtindo wa maisha mnayoishi na mumeo, akifua nguo zake au nguo zako hajakiuka ila ndio kama nilivyosema inategemeana na mtindo wa maisha mnayoish na mwenzi wako.
 

Hivi jamani kuna watu wanatabia ya kurundika hizi nguo?

Mi nafuaga mwenyewe kila jioni ninapooga, hata nikioga naye pia nafua tu naonaga okwadi kuvua halafu nampasia afue wakati tunaoga pamoja.

Ila kuna wakati ananirushia yake 'kimapenzi' namfulia na mimi kuna wakati namrushia yangu 'kishkaji' ananifulia. so ni kama hatuna kanuni. Kuna wakati aliumia kidole nikawa namfulia, nami pia nilijikataga akawa ananifulia. Ila cha ajabu hakuna aliemuomba mwingine kufanya hivyo. Yeye alipoumia akawa sasa anazirudika kwenye kijindoo (cha maji na omo) chumbani, so ikabidi mzee nijitume mwenyewe. Mi pia nilipoumia nikazirudika the same, naye aka-reciprocate, so maisha yanasonga!
 
Reactions: SMU
mie kama nipo kijijini basi tunapena zamu alafu unajua mie napenda ile smell ya kufuli ya demu so nashangaa watu wanaona tabu kufua kwa nini?


Nani kakueleza wanaume hawapendi kuzifua?? Hata hivyo sina hakika kama una uzoefu na hawa wadau zetu...

Labda kama mdau wako wanazipack hadi zijae kwenye kikapu...wengina wanamalizana nazo huko huko bafuni.

Babu DC!!
 
sasa hapo yanakuwa ni makubaliano yenu au inategemeana na mtindo wa maisha mnayoishi na mumeo, akifua nguo zake au nguo zako hajakiuka ila ndio kama nilivyosema inategemeana na mtindo wa maisha mnayoish na mwenzi wako.


Pia na mahali wanapoishi....Huku site (kijiweni au uswahilini), mwanamume hafui nguo ya aina yoyote labda kama mke wake anakaribia kukata roho na hakuna mwanamke mwingine karibu naye!!

Babu DC!!
 

Mapenzi
 
siku hizi kuna washing machine ndugu. kufua si adhabu tena.
 
ni hiari!

Hv kwa nini wanawake ndo wafuaji wa hiyo makitu?
 

Hapo kweli utakua unatoa sababu za kuendelea kupendwa...
 
Kuna kazi ambazo naturally mwanaume anaona uvivu kuzifanya, na mwanamke pia ana zinazomtia uvivu. Kama baba wa watu anashinda gereji na tuktuk yako akiifanyia service, why wewe usimfulie?

Kama kuna mapenzi na maelewano, kufua naturally atafua mwanamke. Japo kuna rafiki yangu anasema mkewe ni mvivu sana wa kufua, yeye ndo anafua nguo zake na za mkewe, za ndani na za nje.

Ila mwanaume kunifulia vyupi vyangu hata akitaka itakuwa ngumu manake vina masharti kama ya waganga! Unakuta kitu cheupeee! Afu analoweka na liboxer lake la gray ama black!

Mpenzi, mfulie tu! Lakini usiifanye kuwa sheria. Akiona imelega kidogo akubembeleze sio agombe why vyupi havijafuliwa. Na siku moja moja unadeka afue na yako ili ajikumbushe unavyomjali,lol! Kwenye mapenzi kila mtu anajitahidi kumpa mwenzie ka-addiction flani. (Usije kuuliza about kutandika kitanda sasa eh? Wakioa mikono huwa inakatika)
 
mbona kumfulia inakuna nachoro tu, hata sioni analazimishia wapi.

Ni kama usafi mwingine wa ndani tu, mbona humwambii, leo zamu yako kusafisha chumba au kutandika?
 
Inategemea mnavyoishi, kuna wanandoa wengine wanaishi kama paka na panya lol! Ila ukimfulia au mkifuliana inanoga zaidi ndo mahaba yenyewe hayo..
 

Si hiyari wala si lazima ... Ni mapenzi tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…