Hawa si marafiki wala ndugu, bali ni maadui wakubwa. Unapo chagua wa kuoa/kuolewa, unachagua mtu mtakaye kosana naye maishani. Wengi wa walio katika ndoa wanajuta, na wanatamani kutoka, wakati walio nje ya ndoa wanatamani kuingia. Hili ni fumbo la imani.