masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Hivi zile sifa ulizokua unazitaja
Za handsome,tall,dark
Financial stable
Na kwa mke (mnazijua nyie)
Ndo anazo sasa hivi
Au Ndoa ni upendo
Hahahaha
Nyie acheni kabisa
Ningemshauri mtu yoyote anaetaka kuoa/kuolewa
Make sure unawaza vitu vifuatavyo
1.mcha Mungu
2.ana upendo wa dhati.
3.anapenda amani
Kuna hao tall and dark utapigwa matukio mpaka ukimbie.
Jitafutie tu mtu wako asie na makuu uta enjoy
Hao wa financial stable sasa
Utaanzisha nyuzi humu mpaka watu watakuona ni chai kumbe kweli unapigwa matukio mpaka
Kwa wanaume ambao mnatafuta wanawake kwa vigezo vya nje tu.
Sikatai kwenye hilo
Lakini tafuta mwenye sifa za ziada
Makalio hayalei watoto.
Na siku hizi wanawake hizo type zenu hawataki jishuhulisha.utabaki na korodani tu hizo.
Mkishaingia kwenye ndoa kuna bills za kudeal nazo.
Hata kama u ajiweza vipi mwanaume kuna ups and down baadae.
Sawa unampenda mkishakua na watoto wewe ukapoteza kazi au haupo dunian?
Unafikiri hiyo chura ataiuza alee watoto?
Natoa mtizamo wangu lakin kama ukipata nafasi ya kirudi nyuma naamini kuna mengine ungeyabadilisha.kwa ni mwanamke au mwanaume gani ungeolewa nae/kuoa.
Muombe Mungu kama atakupa mwenye hizi material thing lakini pia awe na upendo wa dhati.
Lakini kama hana na anaweza kujishuhulisha ana hofu ya Mungu na mengine anayo
Basi umeula..
Otherwise unavyooa usitumie kichwa cha chini tu
(Ndo hayo mawazo mseto)