Mume muislam anahitajika



16% hawana nguvu- dume.
 
Inaonekana mtaani
Kuna uhaba wa wanaume

Mpaka tunataftwa jf dhaaa
Mtaani wapo wengi tu sema kuna watu wanaishi maisha ya mtandaoni tofauti na mtaani yaani wanajua wanaume au wanawake wanakuja kama upepo kumbe hata kumsalimia tu mwanaume au mwanamke usiemjua nayo ni process ya kwanza hata kama huna wazo nae
 
Waislamu hawana shida na mtoto Mola atakupa unalotaka Insh Allah.
 
Natafuta mke ila asiwe na mtoto

GunFire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…