Mume mwema na bora: Sifa na wajibu wake...

Na hayo madole kwenye avatar yako yanatupa image yako
hiyo picha ya huyo mdada kwenye avata yako mumewe akikukuta nayo sijui... anyway nlisoma naye ntakutetea
 
na mdada ukiliona lina mashavu kama andazi la gengeni basi hata likitoa mahari mwenyewe usiowe. naomba nisiulizwe zaidi, yalinikuta!
Klorokwin hahahahahaaa! mbona wapo wengi sana wa dizain hii jaman teh! Kwa nini wenye mashavu hawafai?
 
wanajituma sana kwa kula lakini kitandani ni ma bhoke flani hivi. (msibishe, nina data kamili)
Klorokwin nitake radhi hapa, ulivyosema BHOKE unamaanisha nin? Kabila langu? Tafadhari bwana!
 
na mdada ukiliona lina mashavu kama andazi la gengeni basi hata likitoa mahari mwenyewe usiowe. naomba nisiulizwe zaidi, yalinikuta!
hahahahahahhaahhhah hii kali...tuelezeee bwana ulikumbana na mkasa gani!
 
Mie kwa mtazamo wangu mume mwema ana sifa zifuatazo kwa uduuuchu,japo zipo sifa nyingine nyingi:-

1. Ametulia si macho juu juu kama nzi kila akionacho hata kichafu chaliwa.
2. Anajiheshimu,anamuheshimu mkewe, ndugu wa pande zote, watu wengine pamoja na majirani pia.

3. Mwenye huruma na mapenzi ya kweli kwa mke na familia kwa ujumla.
4. Mtunzaji wa familia na si bahili au mfujaji wa mali.
5. Mcha mungu, au mwenye utu.
6. Mchapa kazi,asiye kata tamaa, si mvivu na goi goi
7. Msaidizi, sio mke na jembe na kuni yeye kashika bakora anapunga mkono, shughuli zote za uzalishaji mali na utunzaji familia kamuachia mke.

8.Mwenye kupenda kujadiliana, sio amri ikitoka imetoka hata kama pumba zenye madhara mradi yeye kasema basi naibaki kuwa hivyo.

9. Mwenye kutimiza wajibu wake kwenye masuala ya unyumba, sio mume jina, "chakula" anakula barabarai mkewe anabaki na "njaa"…ha ha ha lool!!

10. Mwenye kuona wivu kwa mkewe sio kila mtu basi ruhsa kula "chakula" nyumbani kwake ilimradi yeye kaoa basi kaolea jamaa na marafiki.

Na nyingi nyinginezo ndio zinatengeneza sifa za mume mwema, ametoka wapi kijijini au mjini hiyo sio ishu sana. wewe je wasemaje.
 
kwa ufupi all nice guys ni 'waume wema'
now why do nice guys finish last?
 
labda kama uliweka 'special order' kutoka kwa manufacturer.
 
Hizo sifa za kufikirika sana. Hakuna mwanaume ambaye atatimia kwa sifa hizo. Utasubiri sana
 
Yes mkuu, if u appear to be a nice guy, they treat u like a best friend while they go around to rude boys to have their hearts broken and come back to u again complaining that all men are so mean,,,,

u can say that again..
 
its because a lady doesnt want a nice guy who is like her puppy to play with,, they need a real man who knows how to lead and mostly that quality is acquinted to rude bwaays
 
Wangekuwepo wenye sifa zote hizo mbona ingekua raha sana?? Hawa wa siku hizi hakuna kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…