Mama joe thats very true.. but ni mara chache sana kukuta sifa zote hizo kwa mtu mmoja... labda itawasaidia wanaume nao waweze kujiadjust accordingly.. maana mara nyingi wanawake wanapewa kitchen party na kuelekezwa mambo ya msingi wanapokwenda kwa mume.. but wanaume sidhani kama wana pata maelekezo mazuri kama haya b4.. na ndoa ikiharibika wa kwanza kulaumiwa ni mwanamke siku zote.. bila kujali sababu nyingine yoyote .. be blessed mama j.
Maisha ya ndoa sio anasa!
Ni majukumu tena mazito, ni kama ajira sometimes.
Cha muhimu ni kujifunza kukabiliana na challenges za mabadiliko ya mwenza wako
Hakuna binadamu asiyebadilika