Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Mume mwenye sifa hizi anahitajika

uajekundu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
541
Reaction score
461
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
 
Ngoja nijitafakali sifa ninazo
 
Wakuswampa, baba wa huyo mtoto mtarajiwa yuko wapi? Na kwanini si yeye kama yuko hai?
Tuanzie hapo kwanza.
Nina vigezo na nahisi wewe ndio wangu, ila naomba nijue hayo kabla ya kuja PM.
 
duuu nimeshindwa kushangaa aise 🙄🙄🙄
 
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Hapo katika nyekundu Huyo mtoto ulimpata kona baa kwa bahati mbaya??au kazi za nje nakufananisha vile!
 
Hapo katika nyekundu Huyo mtoto ulimpata kona baa kwa bahati mbaya??au kazi za nje nakufananisha vile!
unanifananisha na nani? bahati mbaya tu, japo wengi hawaamini katika bahati mbaya
 
Back
Top Bottom