Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Nadhani utakuwa ni miongoni mwa wale wanawake ambao huwa siwapendi kabisa. Yote juu ya yote nakutakia utafutaji mwema.




#naenda_zimbabwe
 
Mnakosea sana mnaotafuta watu, picha ni kitu cha msingi sana unajua hiyo siyo kazi kwamba upeleke cv tu inatosha, hiyo kitu mbali na hizo sifa kuna sifa za ziada ambazo zina nguvu sana huenda kuliko hata hizo cv, weka hata pasport size bana.
 
Endelea kuamini unacho kiamini. Sio kwa uchafu wa mdomo uliona [HASHTAG]#wakuolewa[/HASHTAG].



#naenda_zimbabwe
 
Mm nimenunua nyumba za Lugumi, na elimi yangu std7 na kila mwez naingiza m7. 5. Bado sifa nimekosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…