Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Usha poteza sifa za kua na mie kwa kitendo cha kuweka mbwembwe nyingi kwenye tangazo lako
 
Siku iz bongo dregree nyingi kma. Naija [HASHTAG]#uchumi[/HASHTAG] w viwanda uwo
 
Unatakiwa ukapimwe mkojo .tayari umesema we ni mama kijacho.sasa huyu mwanamme.mcha mungu anawezaje kuwakombakomba.hata aishi nawe mbaguzi tena. Wa dini na kabila.
 
Tatizo ni hapo kwenye dini!Pia wewe kabila gani?
 
Mimi nina hizo sifa zote kabisa. Ila huyo mtoto Ungesubiri akuekue kidogo angalau Mwaka Mmoja.
 
Nimesoma post zako zote mkuu. My take ni kwamba umefikia kuchukua decision hii kutokana na kuwa the guy you have been with is still a BOY not a MAN. Ushauri wangu: Jifungue, lea mwanao. Just go with it. Everything will fall into place. Give it time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…